Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Walimwengu walikwishaniambia kuwa demu wangu mimi hafai,mimi nikiwabishia nikawaona kuwa wao ndiyo hawafai,hivi sasa mi najuta sitaki demu sihitaji demu,nakuomba usije kwetu mamdogo utantia hasara,kila ukija mi naondoka,natokea mlango wa nyuma naeanda kwa kina rashid.
 
Juma Kassim Kiroboto ( Juma Nature) Mtoto wa Kurasini Kijiji Cha Wavuvi alikuwa Na Usela Mwingi Sana Na ndio maana waliotajirika kwa Jina Lake Ni wengi Sana

Yule Binti alikuwa anapenda kudanga Na Watu Maarufu Na ndio sababu miongoni mwa Fimbo alizokula zilikuwa Za Kijana huyo Mla ndumu

Enzi hizo Bongo record ya PFunky ilikuwa Kama Sebule ya TMK
Wewe jamaa nakukubali sana, huwa upo deep comments zako kuanzia siasani hadi huku unyotani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes warembo wanaamuaga tu kuwabariki wahuni, hiyo wala haina question. Mi jinsi nilivyo naweza kuchukua mtoto mkali we ukabaki kuosha macho tu na tai yako shingoni.
........Zali la mentali....
 
Nina ndio Nora?.. Yule White!?..
Hao ni watu wawili tofauti huyu Nina
IMG_20190403_144749.JPG
 
Back
Top Bottom