Singlelady nisikilizeni

Singlelady nisikilizeni

SINGLE Lady Acheni Kukata Tamaa.

Wanaume wanaowajibika ni wengi. Kuna mwanaume anakutafuta, je uko tayari kwa ajili yake?

Unaweza kukamilisha mpango wako mwaka huu!

Wanaume wapo wengi kuliko wanawake, usizubae.
Wakikujia pm nipasie mrembo mmoja tu niko palee
 
Wanawake wenye quality za kuolewa wapo wachache kuliko wanaume wenye quality za kuoa.

High value women wanagombaniwa sana kwenye soko la ndoa sababu wapo wachache sokoni. Ni adimu sana kupatikana.

Ukiona mwanamke unahangaika kupata mwanaume wa kukuoa. Jitazame value yako, kisha jiulize je ungekuwa wewe mwanaume unatafuta mke je ungejichagua ujioe wewe ama ungechangua mwanamke mwingine ?
Mkuu value ya mawanamke ni ipi wowowo au nini??
 
Wanaume wapo wengi kuliko wanawake, usizubae.
We danganya wenzako. Maandiko yasema siku za mwisho wanawake saba wanamwandama mwanaume mmoja wakisema, tutakula chakula chetu, tutavaa mavazi yetu lakini tuitwe tu kwa jina lako. Asomaye na Afahamu.
 
Maandiko yasema siku za mwisho wanawake saba wanamwandama mwanaume mmoja
Hao ni mabinti wa Sayuni huko Israel watakaopoteza wanaume katika vita, ni mambo yao hao wayahudi pekee

Usiitafsiri kibongo bongo Isaya 4:1 soma vizuri inajieleza hasa ukianzia sura ya 3.
 
Huu nao ni uzi? La haulaah! Au basi.
 
Back
Top Bottom