single women wa kustarehe naye

ni kama chuzi vile jinsi unavyokaribia chooni ndivyo linavyoleta tafrani...

Hahahaaaa lol umenfanya nmechekaa sanaa japo nlisinzia apa adi usingzi umeishaa
 
familia yake kubwa huyo atampa wifi mzigo saa hizi wa kulea pekeyake
achana naye huyo, aliniomba nimuoe baada ya kuwa nimemuonja nikamtupa kwenye kapu, izo ni hasira zake tu tunajuana sisi wenyewe kwa vilemba. si unaona msg zake ni za watu wanaofahamiana anarusha mashambulizi halisi.
 
Na siku hizi wanawake kuokotwa mtaroni huku kaliwa mandei ni Kawaida. Acheni tamaa.
 
achana naye huyo, aliniomba nimuoe baada ya kuwa nimemuonja nikamtupa kwenye kapu, izo ni hasira zake tu tunajuana sisi wenyewe kwa vilemba. si unaona msg zake ni za watu wanaofahamiana anarusha mashambulizi halisi.

kha!!!!! mr richman
 
Sasa hizo pesa si uwekeze kwa wanao?????
 
Aseee huu uzi naona ni wa watu wa 2 tuu hadi raha endeleen bc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…