SINGLE (S) special's thread

SINGLE (S) special's thread

Utakipata unacho kitafuta tu.....nirudishie mtongozo wangu wote niupeleke kwa mwingine
Hahaaaa!! Umenikumbusha mtu aliomba pesa akaambiwa atume ac number alafu pesa haikutumwa, akamwambia jamaa amrudishie ac no yake!!

Huo mtongozo wako siurudishi bado naufikiria, kwahiyo bado napokea mitongozo mingine.
 
ha ha ... mkuu usiache bwana.. hujui dada zetu ndio wanapenda mambo hayo.. ungekuwa unatumia iphone 6+ inakuonyesha watu waliosoma post zako.. yani comment yako moja inasomwa na wadada wa JF zaidi ya 60+, ukiacha utasababisha waache kuja JF
Nimependa hapo kwenye iPhone 6+
 
Hahaaaa!! Umenikumbusha mtu aliomba pesa akaambiwa atume ac number alafu pesa haikutumwa, akamwambia jamaa amrudishie ac no yake!!

Huo mtongozo wako siurudishi bado naufikiria, kwahiyo bado napokea mitongozo mingine.
Haha huyo ni boya

Hao wengine wanakamilisha takwimu
..waambie mzigo ninaye mie yakhee
 
Back
Top Bottom