SINGLE (S) special's thread

Jamani hizi avatar nyingine muombe ushauri. Imenichukua muda kujua kuwa huo ni mdomo wa kulia chakula yaani kinywa!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ulijua ni kitu gani?
 
Avatar [emoji23][emoji23][emoji23]nimejua papuchi....[emoji85][emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nikahisi uliifananisha na nzi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya mawazo yenu ya naniliu chaaaah!! Na hii sitoibadili kwa muda sana, so anza kuitumia[emoji12] [emoji12]
 
Nimechungulia zawadi gafla nikajua imehamia JF. Nikajua CHARMILTON kaichukua
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usiniambie uliifananisha na zawadi!!
Kimoyomoyo nikasema huyu mama anahitaji maombi..cha kuanika papuchi yake nini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimoyomoyo nikasema huyu mama anahitaji maombi..cha kuanika papuchi yake nini [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Njoo tufanye maombi.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Njoo tufanye maombi.
Haha...yaan wenzetu wapo lodges wote halafu sisi

..maombi tutaenda jpili au tukitoka huko
 
If you want to change the world, change it while you are Single because if you get married you can't even take a remote to change a TV station....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…