Jisajili tu, hamtoshindwana.Kwenye list sipo mpendwa..
Ila anataka tusajiliane
Ye mwenyewe kakushindwa, nilimuacha ajiburuze na hilo fupa lilomshinda fisi aongeze maujuzi, mwenyewe kanyoosha mikono juu!!Hahaa lakini unajua kuwa mimi nainjoi ukewenza...kazi kwako
Ndo kakudanganya hivyo? Kwa vile nimempa ruhusa leo ya kuwa na wewe ndo unajishaua sio?Ye mwenyewe kakushindwa, nilimuacha ajiburuze na hilo fupa lilomshinda fisi aongeze maujuzi, mwenyewe kanyoosha mikono juu!!
Nini tena? Au unatafuta sababu za kunikataa?Haha...Tema mate chini
Kwa hali hii utanidump kabla hata ya kavalentine hakajakwisha
Nini tena hendsam wangu nimeshapanga ratiba ya leo usisikilize maneno ya huyo mwanamke ana stress za kuachwakhantwe
Leo hata siko nae, hii nayo kesi nyingine!! Sijui yuko wapi!!Ndo kakudanganya hivyo? Kwa vile nimempa ruhusa leo ya kuwa na wewe ndo unajishaua sio?
Wapi nimekwambia hivyo hivi wewe mwanamke fitna utaacha lini?Leo hata siko nae, hii nayo kesi nyingine!! Sijui yuko wapi!!
We si umesema humfahamu lakini?
Hivi mnapataga raha kumbe tukiwa tunawa seduce eeh! Halafu unasikiliza mwanzo hadi mwisho then simple NINA MTU WANGUNini tena hendsam wangu nimeshapanga ratiba ya leo usisikilize maneno ya huyo mwanamke ana stress za kuachwa