Yeah you have a point here,maisha ni safari iliyojaa kona,tambarare,miteremko na milima mbalimbali,ukijikwaa unanyanyuka na kujifuta vumbi kisha unasonga mbele.Ni kweli tunakutana na mengi katika maisha mazuri pamoja na mabaya yanayotuhuzunisha na kutukosesha amani,ukikutana na zuri mshukuru Mungu,furahia na sheherekea pamoja na wapendwa wako wanaokuzunguka na ukikutwa na mabaya Mwombe Mungu akupe ujasiri wa kukabiliana nayo huku ukiwa na imani kuwa iko siku yatakwaisha kwani hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.Hivyo ndivyo tunavyoisafiri safari yetu ya Maisha.

Ujumbe murua kwa single parents!
Thanx an really i missss you too buddy,where have you been?
looking for you
Woww here i am buddy.happy to hear that :smile-big::smile-big::smile-big:.