MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,127
Nakuhunga mkonoI was raised by a single mother. She raised 6 kids alone. Strongest woman i know. Stop shaming single mothers! She is a mother because of a man who refused to fulfil his responsibilities. Shame dead beat dads.
Yaani huo ndo ukweli we bisha utakavyo ukweli ni kwamba mda mwingi ni upande mmoja. Kutokana na biological nature ya wanaume wanaweza kuhit and run. Mwanamke atapatwa na aftermath siku zote. Women do not win in this at all.
Ujinga wao na tamaa za pesa na vitu.....mwana mke akikomaa huwezi kumfanya lolote
Wanaozalisha singo maza kwanini wasiwaoe..Nani chanzo kikuu cha ongezeko la watu hao?
Kweli wewe una upendo wa dhati kabisa!Mie nimeoa mwenye mtoto,[emoji3059][emoji7]View attachment 1279109
Wanamtumia mwanaume kwa lengo gani pesa? Pesa inarudi ila sio dignity. Naomba unitolee mfano wa aftermath ambazo wanaume wanapitiaSometimes mnashinda
Hujawai kuwaona wanawake wanaotumia wanaume kwa intention zao wakimaliza wanampiga chini na jamaa vilevile ana face aftermath
Kama waliachana hapo inakua tofauti na mtu aliepewa mimba na hajaolewa na aliempa mimba..I was raised by a single mother. She raised 6 kids alone. Strongest woman i know. Stop shaming single mothers! She is a mother because of a man who refused to fulfil his responsibilities. Shame dead beat dads.
Utofauti wao ni nini?Kama waliachana hapo inakua tofauti na mtu aliepewa mimba na hajaolewa na aliempa mimba..
Mmoja ni divorcee mwingine kakimbiwa...awali ya yoteUtofauti wao ni nini?
Wote wameachwa [emoji23]. No differenceMmoja ni divorcee mwingine kakimbiwa...awali ya yote
Akibadilika ntaendana na kasi ya mabadilikoKweli wewe una upendo wa dhati kabisa!
Akija kubadilika chukua maamuzi matamu, ila nawe usibadilike.
Watu wa hivi wanahitaji zaidi HEALING LOVE na ufariji mzuri. Utawafurahia zaidi ila uwe una muonya kwa maneno laini ili asije kubadili gia angani baada ya kupona makovu yake ya moyo.