Single parenthood. Do not settle for less

Mkuu tatizo nguvu ya hoja, viumbe wa kiume kuna mda mdada hajielewi, promise kama zote wengine wanakuwa akina pilipili huko kwa maficho.

Ndipo kake ka upepo wa kisuli suli kanaaminisha atakuwa mume kumbe ni koko.

Wasikwepe majukumu wakaja kuwa akina baba mondi baada ya mafanikio ya mtoto loh!
Hawakutaka!!!! But they risk so much mpka wakapata hao watoto, wa kulaumiwa nani hapa? Aliyeruhusu au aliyekimbia baada ya kuruhusiwa?
 
Comments ziwe fupi fupi tu, maana nao hawakupenda iwe hivyo.

Mbaya zaidi wengi hawajui matokeo ya baadae unapokuwa single mother!
 
Niliposoma tittle nilielewa tofauti na nilichokikuta ndani
 
DJkus,

Na mtoto wa kike anashawishika Kwa ahadi za uwongo uwongo....it is just an endless loop
 
Comments ziwe fupi fupi tu, maana nao hawakupenda iwe hivyo.

Mbaya zaidi wengi hawajui matokeo ya baadae unapokuwa single mother!

Hawakupenda
Hawakujua yatakayowakuta.

Haya ndio majuto makuu ya single mothers,if only they could knew
 
Sasa hapo huo u-unattractive ulionekana kabla au baada? Maana matokeo yapo hapo kati...an apology conceded mum!
 
Tatizo ukute jamaa amelewa amebeba demu kimasihara kaenda tafuna anaamka asubuhi anamcheki sura kafanana na semenya yule mwanariadha wa South Africa maara baadae mimba hiyo unategemea wafanyaje
Wanaozalisha singo maza kwanini wasiwaoe..Nani chanzo kikuu cha ongezeko la watu hao?
 
Kutumiana

Kwani nyie hamtutumii yani mmefanya lile tendo kama ni la upande mmoja
Yaani huo ndo ukweli we bisha utakavyo ukweli ni kwamba mda mwingi ni upande mmoja. Kutokana na biological nature ya wanaume wanaweza kuhit and run. Mwanamke atapatwa na aftermath siku zote. Women do not win in this at all.
 
I was raised by a single mother. She raised 6 kids alone. Strongest woman i know. Stop shaming single mothers! She is a mother because of a man who refused to fulfil his responsibilities. Shame dead beat dads.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…