Single mothers wanaharibu ndoa nyingi.

Single mothers wanaharibu ndoa nyingi.

Most of them wamevurugwa na wakavurugika kweli. So unapo-date naye muangalie kwa moyo wa faraja na upendo ila usiwekeze uaminifu zaidi.

Wengi wanapovurugwa hugeuka vichaa wa maisha. Chochote awazacho hutoa maamuzi bila ku-focus mbele zaidi.

Pia wengi wao hulea watoto kwa upweke na dhiki ya pesa pia.

Wakati mwingine ku-date na single mother yahitaji moyo wa kipekee kabisa.
Mkuu hapa nimekuelewa vizur, nitazingatia ushauri wako.
 
Waacheni singo maza wote waje kwangu maana hakuna ajuaye thamani yao ila Mimi pekee
 
Wachafuzi ni wanaume

Tunawatia mimba kisha tunatokomea

Wanaume sometimes tuna-Roho mbaya sana

Huo upweke na watoto tunaousababisha nisisi, tunabembeleza sana tukipewa tunaharibu nakusepa.
Yaan ww ufahamu wako upo vizuri ndio maana umeongea hilo, wanaume hilo hawaelewi kabisa wapo wenye roho ambazo hazielezeki kabisa
 
kwa mimi ninavyofahamu ukisema single mother ni wale ambao wamefiwa na mume na kuaachiwa majukumu yote ya kumtunza na kulea mtoto au wale walio kimbiwa na waume au waliokata mimba na kumuaachia jukumu mwanamke la kumlea mtoto hao ndo ma s single mother navyofahamu mimi.
lakin kama mwanamke anlea mtoto huku baba naye akichangia kwa namna moja au nyingine huyo sio single mother, kwani bado kuna majukumu anasaidiwa na mlezi mwenzake katika kulea mtoto inaweza ikawa 50/50 au 70/30, lakin kwa namna moja au nyingie naye mwanaume anachangia katika malezi ya mtoto.
 
Kama unaoa mwanamke mwenye akili ya kushikiwa na wenzie, pole sana usisingizie single mothers wa watu, huyo anashawishiwa na yoyote tu
 
Umeandika ukwel mtupu...
Kunywa balimi3 nakuja kulipa.
 
Upo sahihi kabisa kwa hicho ulichoongea...ila siku nyingine jitaidi kubalance mzani, angalau basi tueleze na mazuri yao pia...maana wanayo mazuri pia..
 
Waachieni single mother hata muda wa kunywa maji jaman, mnawasakama sana, sipendi hiyo tabia!
 
Back
Top Bottom