Good Vision
Member
- Apr 29, 2023
- 35
- 67
Haipendezi kabisa mwanaume kua mmbea, jamaa kazingua."Hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni MBAYA,MBAYA,MBAYA"
UMBEA TU.
[emoji23]Hii kampeni ya kukataa ndoa inaongozwa na mapapai yakiongozwa na dondrake.
[emoji23][emoji23]sawa"Hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni MBAYA,MBAYA,MBAYA"
UMBEA TU.
Utajuwa mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23]Haipendezi kabisa mwanaume kua mmbea, jamaa kazingua.
NAKAZIAKATAA NDOA
Wakuu, huu dada ni jirani yangu wameishi na jamaa yake fresh kabisa hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni mbaya mbaya mbaya kiasi kwamba jamaa ameishi kwa kuteseka sana.
Kesi ya pili nashuhudia jamaa anaondoka anamwachia mwanamke chumba na mtoto mmoja akilazimika baada ya kunusurika kufa kwa mpango wa kikundi alichopanga mkewe!
Haijajulikana shida ni nini, dada kila jumapili anaenda church inashangaza, sijui kadanganywa na mahawala ama ni tamaa ya kutaka kitu gani kwa jamaa wakati mshikaji nae bado anajitafuta.
Sema kweli inahuzunisha kizazi hiki kimeingiwa na shetani mpya kabisa sio yule wa zamani.
KATAA NDOA NI UUWAJI, WIZI NA UKATILI.
Wale mnao kubali ndoa, hongereni siku mkikumbwa ndo mtajuwa nachosema.
NEW SINGLE MOTHER IN TOWN
AMINAAAANAKAZIA
wadau wanaamka toka usingizini
Halafu anavyoandika Kwa furaha Sasa,utadhani ye ndio ataenda kumpikia na kumfulia mshkajiHaipendezi kabisa mwanaume kua mmbea, jamaa kazingua.
Halafu hawa mademu wanao achika hata hawatishi kwa uzuri yaani ni ujeuri tu.wadau wanaamka toka usingizini
safi sana
Mmmh Nina mashaka na wewe.🤦🤦🤦🤦🤦Utajuwa mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani sana nakuheshimu mnoo!Halafu anavyoandika Kwa furaha Sasa,utadhani ye ndio ataenda kumpikia na kumfulia mshkaji
wacha wafu wazikane, hakuna namnaHalafu hawa mademu wanao achika hata hawatishi kwa uzuri yaani ni ujeuri tu.
Haisaidii kama na ww ni mhanga pole!Mmmh Nina mashaka na wewe.[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]
Unachekacheka sio?shauri lako![emoji23][emoji23]sawa