Lonelyness
Member
- Aug 14, 2015
- 28
- 12
Umri wangu 28 mkristo, mwajiriwa serkaln, natafuta mume alie nawatoto pia tujenge familia, hata asiye na uwezo wakupata watoto.
Wanangu nina uwezo wakuwahudumia usihofu, ila upweke ndo unanisumbua, nilipenda nisikopendwa nikanyanyasika sana nikaamua kuachia wengine, ila sikufunga ndoa.