Single mother, looking for husband

Single mother, looking for husband

Mi mdogo kwako na sina kazi na natafuta kazi bado sasa kama shida ni mume ,nakidhi vigezo vyako?

how can a lady be older than a man? a gentleman must be older, but how can we live without work? hata ujasiriamali ni kaz mdogo wangu
 
Pole dadaangu Nina imani Mungu atakuletea mwenza wako Wa maisha na mwenye upendo kwako. Ameen!
 
Badilisha jina hilo beste. Haya mambo mengine tunayokutana nayo huletwa na haya majina tunayojiita/itwa.
 
Nahitaj kuwasliana na ww lkn si kwa njia ya jamvini hapa tufanyeje? In the same boat'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom