Mwambie ashukuru , hayanaga muda.
Wanawake ni wengi sana!!..... Awe na Jeuri.
Utafiti niloufanya mwenyewe, unaonyesha GOOD BOYS ndio wanaongoza kuoa Singo Mama ( japo sio dhambi).
Kuna Wanawake Singomama Wapumbavu, kitendo Cha kuolewa, Basi Upumbavu wake unamuaminisha kua"Huyu mwanaume mjinga, kama amekubali kunioa nikiwa tayari na mtoto basi hata nimuudhi vipi hawez niacha"
Na hili hujithibitishia pale ambapo Hawa Kenge wanaojiita Good boys, wazee wa beby beby, wanapowabembeleza madems huku wakitoa machozi na Maneno kama "Yaan unanitendea hivi, ona navyokuhangaikiaaa, unanilipa hivi, Mungu yupooo bana"...
Ujinga mtupu, Mungu kakupa Akili, hataki bichwa lako libaki la kuvukia barabara.
Good Boys .. Binadam pekeee wanaojiua kisa MADEMU