Single mother ameniteka

Kwani 'singo maza' si ni mwanamke na wewe ni mwanaume? Halafu mwanaume na mwanamke huwa wanapendana
Kila mtu uwa na viwago vyake vya kumpenda mpenz wake Mimi naona nimevuka viwango Yan nimepitilza mpaka najiisi vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo sasa hiyo sio bangili ni pingu ushafungwa hapo huchomoki dingii.
Kuna siku nilienda kuoga niliivua nikaliacha ndani nilivyo maliza kuoga nikalisaau kulivaa, mshikaji wangu akalichukua akalificha kwake, Sasa tulivyo onana na single mother nikamwambie zawad yako rafiki yangu kaichukua ana ivaaa, dem akawa mnyonge kweli Kama dakika 5, akanijib mwambie akupe kwanini avae zawad ya mpenz wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'na Mimi sipendagi madem kutoka moyoni'.

Unapendaga madem kutoka mguuni au sio?
 
Vumilia tu kama hana mambi ya kukuomba ela kila mda wendelea kubembea tu
 
Lichuma hilo lichuma hilo livue haraka sana kabla hujaharibikiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kumpigia simu haitoshi, inafaa akoleze tu ubani, ukae unamfata fata kama mkia wake....
 
singo maza watam kudate nao, hulali na nyege hata siku moja
watam kinyama kitandani
ila usioe, mambo ya 1-0 sio poa
 
... kutumia SMS = kumtumia SMS
... analadhimisha = analazimisha
... kumjulia hari = kumjulia hali
... naanza kuisi = naanza kuhisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…