Single mother ameniteka

Jaribu kuvua hiyo zawadi aliokupa ukiona hali bado ni ile ile jua ni ww tu ndio unampenda ila unamuonea aibu
 
Ndio nini hiki ? Sijaelewa
sorry ktk avartar yake aliweka picha ya mcheza filamu ya Predator nimeshaifuta nilitaka kutumia hivi badala ya ID nikimaanisha bora jaap akaoe atapata mapenzi na watoto
 
Kwani 'singo maza' si ni mwanamke na wewe ni mwanaume? Halafu mwanaume na mwanamke huwa wanapendana
 
Jaribu kuvua hiyo zawadi aliokupa ukiona hali bado ni ile ile jua ni ww tu ndio unampenda ila unamuonea aibu
Hapana hakuwa kwenye moyo wangu tokea zamani nilikuwa na mpigia simu nikiona kifurushi nilisho jiunga kina Karibia kuisha muda wake ndo nampigia simu yeye ninaweza kukaa miez minne bila kuwasiliana Naye nashangaa sasaivi siwez kupitisha siku bila kumtafuta, halaf nakuwa muda mwingi na muwaza yeyetu mpaka nakosa hamu yakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushalogwaa wewe si bure
 
Kwan ww nan aliekwambia hisia hisia/moyo huwa unazama kwa pisi kali? Huo ukawaida ni macho yako ndio yaona hvyo ila moyo/hisia zako zinautafsiri tofauti kabsaa kwaiyo usishangae.
Mimi sijawai kupenda kiasi hichi na Mimi sijuagi kupenda wanawake kwa kiwango hiki mpaka najiisi kukonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…