hahahaaa!! humjui baby N? Baby D je? baby h.o.e je?
inaonekana kumbe bado hamjanifaham vizuri nyie warrrrembo!
karibuni sana tarime aisee!
kwa mr pendapenda Excel usishangae ukawa ni wewe lol
mwambie bibie akwamini bwana! hivi ikitokea ikawa ni kweli utafanyaje @ich? lols! ntahekaje kwa furaha siku hiyo miee!Ngoja nimpe ufafanuzi baby n = miss neddy.anakupenda sana
Ha ha ha best huyu shemeji angu tuu
Ngoja nimpe ufafanuzi baby n = miss neddy.anakupenda sana
Ha ha ha best huyu shemeji angu tuu
Mimi mbona hata sielewi...
Kumbe!!! Ngoja nifungue yangu nyingine
unalala kweli ama unaruka kwenda maisha club we mtoto!
unaniona mi under twenty kama mango g eenh?
ntakukata mguu huo! lol
wadachi washafanya yao chezea van pasi
Mwambie sijalala bado...
hahahaha nalala zangu king hufai na club siendagi u know
we zubaa tu wenzio washahamia chemba
nakujua mpaka kwenye nanihii! .
na ile wain uliyoficha kwenye nanihii ni ya nani?
Nipo huko huko miss neddy afu leo umenifurahisha sana hakyamama
How are you middle man?
i am Excel from tarime special army force.