Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 602
- 1,271
Amani kwenu wanajamvi! Natumaini mko vizuri.
Napenda moja kwa moja kwenda Uzi ambao unaakisiwa haswa na kichwa cha habari
Nipo vijana wanatazama station mpya ya television hapa Tanzania inaitwa zamaradi, sasa katika matangazo nimeona wanatangaza kipindi chao kinaitwa "single mama club" ambacho kinakuwa launched kila j3 kama sjasahau kwa mujibu wa tangazo...
Najiuliza maswali iko kipindi kimejikita kwenye maudhui gani haswa! Sipo nacho negative ila nahofia tu kisijekuwa ni motivational na inspiration kwa Dada zetu na binti zetu kuwa masingo maza Pasi na sabaabu yeyote itakayompelekea yeye kuwa huko, kwasababu kuwa single mother sio dhambi kuna mambo mengi kwa ground ila intentionally dreaming to become a single mother ndio nahofia isijekuwa ni kichochezi maana vijana wetu hawa roll models wao Mara nyingi huwa ni watu maarufu ima ma celebrity, ma player na wana mziki na wengineo pia si kosa ila mbaya ni kuiga vyao vyote hata vibovu
Sjatuhumu kipindi wa kituo na mwenye uelewa na hili anaweza akatoa elimu au ambae amewahi ona maudhui yao pia anaweza kututoa tongotongo...ready to learn.