Hata wewe ulisema kuhusu mwezi huu. Uliposema nimempa ushauri MWEZI huu ina maana miezi mingine ingekuwa sawa kumpa? Kwa hiyo sasa hivi una ji contradict! Ulipotaja mwezi huu ina maana miezi mingine inaruhusu uovu! Kuwa na msimamo na usiwe mtu wa kubadilikabadilika babu....sawa?