Single Mama Ananipenda lakini mi naogopa!

Mkuu nilishamaliza biashara
 
Naona una mfundisha kijana ubaharia
 
Bro mbona process ndefu sana. Akaribishwe ghetto ile anaingia jamaa aanze kusaula Single mother atamuelewa tu
 
Sasa tangu 2011 mpaka leo ujapata tu shemeji wa future inamana uyo single maza utaweza kweli kuudumia uyo mtoto
 
hao masingomaza,niwakuchapa na,kusepa,usije shangaaa ukaja kupewa mjukum.ya mtoto harafu baba mtoto ajizinguwa asira kwako wakilewana umechapiwa nishida tupu kitu kingine atakulinda usimpe mimba maana anaogopa kuzaa,watoto 2 bira kuolewa
 
Sasa tangu 2011 mpaka leo ujapata tu shemeji wa future inamana uyo single maza utaweza kweli kuudumia uyo mtoto
Single mother anaejielewa ni mzuri kuwa side chick
 
Ushauri gani huo unampa ukizingatia mwezi huu Mkuu!? Kama anampenda amtume mshenga kwa wazazi jibu litapatikana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…