Unaomba ushauri wetu kwa dhati?Habari wanajamii
Moja kwa moja kwenye mada;
Tangu mwaka 2011 kuna binti nilikuwa nimemzimia sana, ila nilikuwa nashindwa kimwambia ukweli(domo zege) hasa ukizingatia huyu binti kadiri miaka ilivyokuwa inakwenda akaanza kunizoea na hadi sasa ameshanizoea kabisa. Tunachat sana kwenye whatsapp/sms lakini inaonekana ana hamu na mimi ila mi naogopa, kwani kwa kipindi tangu tulipozoeana 2011 nilishindwa kumwambia ukweli na baadae akapata lijamaa likampa mimba na sasa ana mtoto mkubwa tu. Inaonekana binti anani-mind sana ila mi nashindwa pa kuanzia.
Naomba ushauri wenu
2βΏα΅post 2019
Post tayari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tukuukize swali. Pamoja na kuwa unaomba ushauri wetu je wewe mwenyewe dhati yako ya moyo imeamuaje kuhusu huyo mwanamke?
Mkuu, bora umsaidie kijana maana majibu anayo ila ni kama hajiamini - "Nimemzimia sana, ila nashindwa kumuambia ukweliβ¦nashindwa pa kuanzia"Ngoja tukuukize swali. Pamoja na kuwa unaomba ushauri wetu je wewe mwenyewe dhati yako ya moyo imeamuaje kuhusu huyo mwanamke?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda mkuu, ila nilishindwa kumwambia ukweli mapema thus Y amekuwa single motherNgoja tukuukize swali. Pamoja na kuwa unaomba ushauri wetu je wewe mwenyewe dhati yako ya moyo imeamuaje kuhusu huyo mwanamke?
Sent using Jamii Forums mobile app
[QUOTE="Beberu Mwitu, post: 30309485, member: 188842"]Tangu mwaka 2011 kuna binti nilikuwa nimemzimia sana
Basi tunakushauri jipe ujasiri wa kumvaa na kumweleza. Huenda yeye hakuhitaji lakini wewe umekuwa ukijipa matumaini yasiyokuwapo au yapo kweli. Sasa ili ujue ni lazima umvae na kumweleza ukweli. Tahadhali ni kwamba ukianza kwa kukosea basi ni lazima utamalizia kwa kukosea na hatimaye kukosa.Nampenda mkuu, ila nilishindwa kumwambia ukweli mapema thus Y amekuwa single mother
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa ushauri mkuuUnajua wamefikia wapi yeye na jamaa aliyemzalisha?
Isije baadae ukarudi na vilio.
Kuwa na single mother kunahitaji moyo wa chuma na macho na masikio ya mbao.
Ingia pole pole tena kwa umakini wa hali ya juu.
Most of them, ni waelewa ila ukipata asiyejitambua itakula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
GOOD! Now that you are matured, do something. END it or START all over. I am sure the tongue is not tied any moreπ2019 - 2011 ni muda wa kutosha; Ni nini kilikutatiza mpaka ukashindwa kumtamkia yalio moyoni mwako? Na iweje ukaendelea nae hata baada ya kujua kua amejaliwa mtoto na mwanamume mwingine (lijamaa). Be a man enough to start the conversation on "way forward", the sooner the better. Do you like her? Love her?[/QUOTE]I really love her but at that time I was not matured enough also at that time me with women I become tongue tied [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Now I'm talking like parrot. [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]GOOD! Now that you are matured, do something. END it or START all over. I am sure the tongue is not tied any moreπ
That's whats UP! Go get her...πNow I'm talking like parrot. [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Thanks for your advice, I'm gonna drop like its hot.
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm on my way, full of confidence wait for feedback[emoji2445][emoji2445][emoji2445]That's whats UP! Go get her...π