Single ladies wanapatikana wapi?

Kukuta demu yuko singo kwa maana halisi ya singo ni vigumu.
 
madem wote unaowaona wana kazi zao sema tu kipato kinatofautiana na aina ya kazi.So Acha uvivu piga sound mtoto wa kiume hawa wakutafutiwa hawana issue

Dah.......ndugu yangu!!! Ulikuwa hujui kuwa siku hizi madomo gundi yameongezeka? Sijui ndo chipsi mayai hizo!!
 
Teh, wenye kazi zao nenda Corner Bar au Pale Kinondoni wako kibao utawakimbia mazee
 
mmesomeka wakuu. na mmesomeka kweli. wenu katika ujenzi wa taifa-----wallet. ladies msipite tu. mtoe na ishara zenye kuonekana. nimeshang'amua baadhi pia na nitaifanyia kazi list yangu.
 
we mi nlishakwambia uje Arusha tukeshe ukayeyusha....sijui unaogopa nini....

Sina nnachoogopa wangu, ni mikimbizano ya laifu tu ndo ilinitaiti... si unaona hata humu ukumbini nilipotea?? lakini punde si ndefu ntatia timu...ngoja nisubiri kidogo Arachuga itawalike..lol.
 
Mida ya kuanzia saa 9.30 jisimamie Posta pale wapo wengi tu utawakuta wanakuja kupanda daladala na wewe unakamata hapo hapo
 
Mida ya kuanzia saa 9.30 jisimamie Posta pale wapo wengi tu utawakuta wanakuja kupanda daladala na wewe unakamata hapo hapo

nimekusoma mjomba. Ishu ni huo muda. Ila mchongo umetulia
 
Am single ni PM. nina kila unachohitaji...
 
Kwan we unawataka kwa ajili ya nn? I know one lady single divorced in a way.. but u haven't said u want ha 4 wat? Kwanza nawe ni single au double?
 
Kwan we unawataka kwa ajili ya nn? I know one lady single divorced in a way.. but u haven't said u want ha 4 wat? Kwanza nawe ni single au double?

natafuta wa kujenga nae life ww. Huyo mtalaka no!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…