Single ladies wanapatikana wapi?

Single ladies wanapatikana wapi?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Naulizia wale wadada ambao wanafanya kazi zao na kuishi kwa kujitegemea. Sio wanafunzi, japo wako wanafunzi ladies. Wanapatikana wapi hawa? Napishana nao manjiani lakini hawajaandikwa wako singo. Kuwasimamisha njiani sio utaratibu. Nahitaji kuwa na mmoja mwenye kazi yake. Ukichanganya na yangu, tunasongesha.
 
mie mwanafunzi sikufai.....subiria watakuja kukona
 
Huwaoni tuuuu? Mbona wapo kibao hapa JF! Ngoja waje!
 
Unataka utafuniwe kazi yako iwe kumeza tu?Tafuta utawapata
 
ndo yale yale. Hawajaandikwa kuwa wako singo. Au nisaidie ww kuwatambua

Usijali watakuja kujitambulisha kama nao wana shida kama yako. Kila la kheri kaka!
 
ishu si ndo kuwapata mkuu. Kuimbisha si tatizo. Tatizo kujua huyu yupo kama mi.
kwani wewe unapenda mtu au kazi yake? Maana mimi nitakupa mshahara wangu wote ila matumizi unipe wewe lakini matumizi yangu ni mara 3 ya mshahara wangu ndo maana hata siutaki nakukabidhi maana haunisaidii kama upo tayari njoo
 
Unafikiri kuna eneo ambalo ukitajiwa utawakuta wamekaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kama vitunguu vinavyouzwa wakisubiri wanaume? Jichanganye sehemu mbali mbali, vyuoni, kwenye masherehe, mikutano, makazini nk utawakamata.
 
ishu si ndo kuwapata mkuu. Kuimbisha si tatizo. Tatizo kujua huyu yupo kama mi.
Huwezi kujua bila kuwafanyia usaili,mbaya zaidi kumpata aliye single siku hizi ngumu na hata ukimpata ujue kaachana na mtu na si unajua mapenzi hayana kaburi siku yoyote wanarudiana.

Kinachofanyika siku hizi ni kuingia sehemu ambayo kuna mtu na unatangaza nia na kuchukua jumla.
 
madem wote unaowaona wana kazi zao sema tu kipato kinatofautiana na aina ya kazi.So Acha uvivu piga sound mtoto wa kiume hawa wakutafutiwa hawana issue
 
kwani wewe unapenda mtu au kazi yake? Maana mimi nitakupa mshahara wangu wote ila matumizi unipe wewe lakini matumizi yangu ni mara 3 ya mshahara wangu ndo maana hata siutaki nakukabidhi maana haunisaidii kama upo tayari njoo
thethethethethet!!! Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii anaaaaa!!
 
kumbe siku hizi bila kazi hapendwi mtu, nilikuwa sijui mdogo wenu kwamba mambo ya automatically true love yamepitwa na wakati,, kweli threads na vikao vya kusuruhisha ndoa hazitaisha, na nyumba ndogo demand haitaisha,,

Men's wapo after money, women nao after money sijui watoto wanaozaliwa watakuaje kama sio kuiuza danganyika kama presdaa mtembezi
 
Back
Top Bottom