Single fathers: Wanaume mje msome

Single fathers: Wanaume mje msome

Nadhani hata single mother highway ya kwenda kwenye moyo wake ni kupitia mwanae hata sisi wanaume ni hivyo hivyo. Waswahili wana msemo "ukipenda boga penda na ua lake'. Ukimpenda mwanangu nami ntakupenda ,ni rahisi tu.
Ndio maana watu hu fake wakiingia ndoani watoto wanai soma number
 
Mimi nimelelewa na mama wa kambo naujua mziki wake na nisingependa mwanangu apitie hayo. As a single father kama ntakuja kuoa tena maslahi ya mwanangu ndio mkataba wa ndoa yenyewe kama hataweza basi asepe tu.
 
Na Mimi huwezi ni force niwapende wanako ka tafte malaika aisee au mfanyakazi wa kukulea, Mimi simlaumu mama wa kambo, mitoto ya kambo haipendeki maana imeathirika kisaikolojia hata ufanyeje haipendeki na Mimi mama siwezi gawa upendo kwa watu ambao sijawazaa niwape equal treatment hyo never mama yao Yuko wapi kuchangia Yani kidogo changu ni shee na wasio wangu loh
 
Naheshimu msimamo na maoni yako lakini hata single mothers wanaweka maslahi ya watoto wao mbele. Wanaume mara nyingi huonyesha genuine care kwa watoto wa kambo kuliko wanawake.
 
Bora wanawake huwa hatuweki vtu moyoni nyie vtu huwa vinawaua ndani Ila nje mwaonyesha mko okay kabisa. In short kuhangaika na mwana asiye wako na uliyemubeba tumboni ni vtu viwili tofauti, wazazi wetu tu Kuna watoto wanawapenda Sana kuliko wengine sembuse mtoto asiye wako
 
Acha kutishia watu na imani zako hata hao single mother wapo walioacha kwa tabia kama hizo hizo kila mtu ana matatizo yake wether umeacha au hujaacha
 
Back
Top Bottom