Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Big up kwa single fathers wote!!!
Ila mtoto anakua vizuri akipata malezi ya mama (ata kama ni wa kambo) na baba!!! Oeni basiiiii!
Ni kweli!!! Mwanaume inabidi aoe mama wa mtoto Ila kupata mtoto pamoja kisiwe ndo kigezo cha kumuoa mtu!!!Mama wa kambo wengine ni noma hawakawii kuja kumburuza mwanao mpaka akakosa hamu ya kuishi.
Ni kweli!!! Mwanaume inabidi aoe mama wa mtoto Ila kupata mtoto pamoja kisiwe ndo kigezo cha kumuoa mtu!!!
Ndo mana jitihada za kuzuia mimba zisizotarajiwa zinabidi kufanywa na wote wawili....
[emoji121]Duh mimi sasa sijui nijiiteje maana ni single father kwa wanawake wanne....