hata mimi ni mpenzi sana wa ndege kiasi nimejikuta ni my second hobby, nilishiriki kampeni ya aganst serengeti road nikapata kufika huku, si haba kuendelea kubadilishana mawazo ktk hili, hivi wenetu tutawarithisha nini?Pamoja mkuu huwa napenda sana utalii na huku kote nimepitapita though sio kwenye hizo hotel but angalau kwa kuziangalia kwa mbali
huenda tuna share hobbies, mimi nimeshafika karibu vivutio vyote TZ IKIWEMO KUFIKA KILELENI kILIMANJARO 2008, HUENDA TUTUMIE FURSA HII KUENDELEA KUHAMASISHA WENEZETU JUKWAANIPamoja mkuu huwa napenda sana utalii na huku kote nimepitapita though sio kwenye hizo hotel but angalau kwa kuziangalia kwa mbali
huenda tuna share hobbies, mimi nimeshafika karibu vivutio vyote TZ IKIWEMO KUFIKA KILELENI kILIMANJARO 2008, HUENDA TUTUMIE FURSA HII KUENDELEA KUHAMASISHA WENEZETU JUKWAANI
hata mimi ni mpenzi sana wa ndege kiasi nimejikuta ni my second hobby, nilishiriki kampeni ya aganst serengeti road nikapata kufika huku, si haba kuendelea kubadilishana mawazo ktk hili, hivi wenetu tutawarithisha nini?
uKIFIKIA MIPANGO UTANI-PM, NIKUPE TIPS ZA KUKAMATA GANDA LAKO LA DHAHABU KWA KUFIKA KWENYE PAA LA AFRIKA, HAP PANAITWA ISIMILA MWILONGO, NIMEFIKA PIA HAPOKweli tuna-share common interest ila Kilimanjaro bado kila nikipanga mipango haipangiki Iringa on the way to Mafinga kuna sehemu kama sikosei katikati ya Tosamaganga na Tanangozi jina limenitoka kuna zana za kale. kiukweli huwa napenda sana haya mambo na gharama si kubwa kama mmoja wenu atakuwa na gari mkachangia cost mbalimbali
uKIFIKIA MIPANGO UTANI-PM, NIKUPE TIPS ZA KUKAMATA GANDA LAKO LA DHAHABU KWA KUFIKA KWENYE PAA LA AFRIKA, HAP PANAITWA ISIMILA MWILONGO, NIMEFIKA PIA HAPO
kimondo cha mbozi sijagonga hapo, KARIBU SANANi kweli mkuu asante kwa kuikumbusha maana mie rafiki zangu waliipa jina la Vasco da gama kwani nikifika sehemu naangalia sehemu ambayo ni maarufu mfano Mbeya nilifika ikabidi nilipomaliza kazi iliyonipeleka pale nikaenda Tunduma sema muda haukutosha sikuweza kushuka Mbozi nikaone Kimondo cha mbozi, nikijipanga nitaku-PM, kikwazo ni muda tu ila nina imani ndani ya miaka hii miwili nitapanda mlima
kimondo cha mbozi sijagonga hapo, KARIBU SANA
naona umenipiga bao kali sana hapa, nimefika Karagwe lakini sijapata hata kusikia haya, ni vyema kukawa na initiative za kuanza kutangaza haya kwa wenye mamlaka husikaPamoja sana, Tz historical site nyingi sana yaani niliwahi kufika Karagwe,nikakuta jamaa mmoja anajitahidi kuainisha historicak sites za kule nikaweza kufika mpaka maeneo ya Kijumbura (kama 50 km toka Kayanga) ambako Chifu Lumanyika alikuwa ana base yake kule, watz wengi wanaona kawaida lakini hivi vitu ukisoma alafu ukapita kuona vinakaa sana kichwani
Singita Grumeti Reserves is owned by US businessman Paul Tudor Jones and is managed by South African company Singita Game Reserves under Luke Bailes.
Huyo ni best wa mkuu wa KAYA tangu akiwa Foreign Affairs....sishangai yeye kupewa eneo pembezoni mwa njia ya wanyama wahamao
View attachment 73960
mimi nimefika hapa...lakini kama mjumbe wa tume huru...unaweza na wewe ukadunduliza...........
Hakuna siri katika dunia hii kumbe ni best yake, ila hii hotel ipo pembezoni kidogo kilometa kama nane kutoka Nata kwenye kamuinuko kidogo ambako kuna view nzuri ya wanyama, iliyojegwa kwenye Migratory route ya Wanyama ni hiyo ya mkulu mwenyewe Bilila Kempisky.
Hapo kwenye red upo sawa kiongozi.
Kwa upande mmoja hii lodge imepunguza umaskini kwa mwana familia wetu mmoja, maana mwisho wa mwezi si haba. Ila post zote nyeti wamewekwa wageni....masilahi ya taifa walakini mtupu.
Mara nyingi Jones akiwepo wanakutana na best yake pale....nani asiyependa kuwa best friend wa Mkuu wa KAYA??
Mkuu RealMan ni kweli post zote nyeti na kubwa wanashikilia wageni kinyume na muongozo wa mmliki kuna kipindi akija Tanzania wageni wengi wanapewa likizo ili kumkwepa.Wafanyakazi toka Kenya,S/Afika wamejaa kila sehemu labour turnover ni kubwa sana kwa wazawa.
Hapo kwenye red upo sawa kiongozi.
Kwa upande mmoja hii lodge imepunguza umaskini kwa mwana familia wetu mmoja, maana mwisho wa mwezi si haba. Ila post zote nyeti wamewekwa wageni....masilahi ya taifa walakini mtupu.
Mara nyingi Jones akiwepo wanakutana na best yake pale....nani asiyependa kuwa best friend wa Mkuu wa KAYA??
dah, hii imetulia zaidi, ana post gani yeye hadi wakutane na Jones?