Hivi Sheria gani inavunjwa hapa?
Tatizo siyo umeme unaousemea wewe, tatizo ni ukiukwaji wa sheria ambao kama hujauona basi tena!!!!!Mkiletewa umeme shida msipoletewa umeme shida.
Kuhamishwa watu kwa ajili ya kuleta maendeleo ni kitu cha kawaida duniani. Unafikiri maendeleo yanakuja kwa kuota kama miti?
Wacheni kulala, amkeni. Mnaletewa umeme, mnaanza ooh Singiga imeuzwa, imeuzwa imepelekwa wapi? kuwa na fikra japo kidogo.
Hivi Sheria gani inavunjwa hapa?
Tatizo siyo umeme unaousemea wewe, tatizo ni ukiukwaji wa sheria ambao kama hujauona basi tena!!!!!
Hakuna mtu anayepinga uwekezaji.
Hakuna ukiukwaji wa sheria hapo, hao watu wanahamisha na wanakuwa "compensated", wanahamishwa bila kulipwa?
Wacheni kulala katafuteni kazi kwenye hizo kampuni, zinalipa vizuri. Mnaletewa maendeleo mnalalamika, hata siwaelewi mu watu wa aina ipi? Sheria za Tanzania hazizuwii maendeleo, yanahamishwa makaburi kwa kufuatwa sheria itakuwa watu walio hai? wacheni chokochoko na ufataani.
Huyo anaeleta ufataani humu mbona hajasema kuhusu barabara ya Dodoma - Singida - Shinyanga na Singida - Dareda - Arusha, wamehamishwa watu wengi sana kupisha barabara mbona alikaa kimya?
Umeme wa upepo ubahitaji utafiti wa kina wa kujuwa upepo unapopatikana kwa kasi fulani kwa mwaka mzima unapatikana wapi na hapo sehemu iliyochagiliwa ndio paeonekana panafaa zaidi, mnachotaka ni nini?
Ngojeni na hivi karibuni kuna kampuni zinakuja, moja ya dhahabu, nayo inahitaji eneo kubwa tu na moja ya uranim pale karibu na Manyoni, ndio mseme vizuri.
Mkiletewa umeme shida msipoletewa umeme shida.
Kuhamishwa watu kwa ajili ya kuleta maendeleo ni kitu cha kawaida duniani. Unafikiri maendeleo yanakuja kwa kuota kama miti
Wacheni kulala, amkeni. Mnaletewa umeme, mnaanza ooh Singiga imeuzwa, imeuzwa imepelekwa wapi? kuwa na fikra japo kidogo.
Mkiletewa umeme shida msipoletewa umeme shida.
Kuhamishwa watu kwa ajili ya kuleta maendeleo ni kitu cha kawaida duniani. Unafikiri maendeleo yanakuja kwa kuota kama miti?
Wacheni kulala, amkeni. Mnaletewa umeme, mnaanza ooh Singiga imeuzwa, imeuzwa imepelekwa wapi? kuwa na fikra japo kidogo.
Mpita Njia,Ni vigumu sana kuamini kuwa mwekezaji huyo ameletwa kwa namna hii ambayo mleta mada anasimulia. lakini kwa mambo ya Tanzania, hakuna kisichowezekana... ama kwa hakika tumerogwa na aliyeturoga alishafariki, sijui nani atatuagua