Huko barabarani madereva vichaa ni wengiNdo hvyo sijui zitapungua lini hzi ajali
Moro(hasa kuanzia. Msamvu kwenda chalinze) na singida hii mikoa huwa INA ajari za Mara kwa maraUkiachana na makosa ya kibinadamu,hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.
Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.
Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.
Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.
Kabisa kabisa,nakubaliana na wewe 100%Moro(hasa kuanzia. Msamvu kwenda chalinze) na singida hii mikoa huwa INA ajari za Mara kwa mara
R.I.P.Samia anatuangamiza. Madereva wanatumia barabara kama vile hakuna serikali...
Hayo maroho mnayazingizia tu.ukweli mchungu ni mwendokasi japo hampendi kuambiwa hivyoUkiachana na makosa ya kibinadamu, hili eneo la Malendi hadi Shelui kuna kitu cha kiroho kinazunguka.
Ni kama kipande cha Ikungi hadi Manyoni.
Msamvu hadi Nanenane Morogoro etc.
Ujumbe;
Tuziombeeni sana safari zetu kwa Mungu.