Singida United vs Young African sports club niliyoyaona mimi

Mikia tumewazidi mataji..na ndio ukubwa huo..Azam wana kombe moja wamepitwa na Mtibwa
Mataji yenu ya Premier yamewasaidia nini mpaka sasa?
Simba tuna uwanja wetu wa mazoezi and soon tutatandika majukwaa ya adabu japo hatuna uwezo sana wa kujenga kulingana na ukubwa wa club yetu kwa maana ya wingi wa mashabiki ila tutafanya.
.
Simba tumecheza robo fainali ya champions league mara mbili, Simba tumeuza wachezaji wetu kwenda club kubwa africa wengi na wakienda huko hawawi maflop, Simba tuko mjini yani Kariakoo kabisa ninyi mko kariakoo ya wapi?
 
Ule Uwanja wa Kanjibai Mo Arena ambao muda wowote anaugeuza kuwa cricket au golf course?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom