Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,444
- 1,644
Jitihida ni hii hapa. Nimeweka juhudi hapa jukwaani.Wewe umefanya jitihada gani kuona fursa na kuichangamkia ?
Kwa sababu gani umeshangaa Singida kutokuwa supplier wa kuku?Jitihida ni hii hapa. Nimeweka juhudi hapa jukwaani.
Rejea Historia ya nchi Tanzania. Ndio ujiulize Singida na uzalishaji wa Kuku wapi na wapi?Kwa sababu gani umeshangaa Singida kutokuwa supplier wa kuku?
Siijui Singida vizuri lakini ukiongelea ufugaji wa mifugo kama ng'ombe,mbuzi na kuku hasa ufugaji wa kisasa lazima hali ya hewa ya eneo itahusika, jamii pia inayozunguka kama soko.
Singida,Dodoma ni pakavu sana,sjui ubora wa maji yao ukoje[hasa kwa upande wa kuku],trend ya joto pia yaweza kuwa ni sababu ambazo hazivutii sana uwekezaji mkubwa.
Mashamba ya mifugo utayakuta huku kusini na kaskazini kule sababu hali ya hewa inaruhusu.
Note: Watu wa Dar wanafuga sababu soko ni kubwa huko japo wanapambana na hali ya hewa.
Karibu Green City,Mbeya uje ufuge😎
Kwa sababu gani?Habari Tanzania !
Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima?
Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ?
Karibuni
Muulize LisuHabari Tanzania !
Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima?
Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ?
Karibuni
Mkuu nchi inapitia magumu utekaji na mauaji wewe unabakia tu kuwaza msos nyama ya kuku. Siyo poa asee.Habari Tanzania !
Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima?
Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ?
Karibuni
Hayo magumu yakipita; wafikirie basi Viwanda vya KukuMkuu nchi inapitia magumu utekaji na mauaji wewe unabakia tu kuwaza msos nyama ya kuku. Siyo poa asee.
Mie yangu ni mawazo na hoja chokozi mpendwa.Njoo wewe ufungue tajiri, supply ni ya kutosha ushindwe wewe tu.
Sio lazima uwe mkazi wa singida ili kufungua kiwanda singida
Wengine ndio tunapenda hayo mambo yao.
Singida ni kubwa sana.Muulize Lisu
Mkuu acha kuwaza kulakula tu mikuku. Kuna mambo mengi tu ya maana kujadili kuliko nyama ya kuku. Tendea haki jukwaa hili.Hayo magumu yakipita; wafikirie basi Viwanda vya Kuku
Chakula, Vinywaji na Mavazi havipitwi na muda. Nyie si mnaangaika na mambo ya kupita, ila nilivyovitaja hata ipite miaka mingapi jibu hitaji lake liko palepale.Mkuu acha kuwaza kulakula tu mikuku. Kuna mambo mengi tu ya maana kujadili kuliko nyama ya kuku. Tendea haki jukwaa hili.
Sau'waah?