Singida; Mkutano wa kampeni wa CHADEMA

Singida; Mkutano wa kampeni wa CHADEMA

Ndugu We Si Nimekuona Arusha Leo Au Iyo ID Imebakwa?
 
Watu wanajisikia vibaya sana kuona mgombea wenu hayuko comfortable kuitawala mic jukwaani, anapata shida kuushirikisha mwili ..mwili wa mwanadamu aliye kamili uenda na maneno ama matukio lakini kwa babu mambo yanakuwa ndivyo sivyo, hata mic yenyewe inageuka mzigo kuishikilia, anapenda kujisogeza kwa hatua za haraka na za kuvutia ila anaishia kutembea kama mtu anayekatiza kwenye pori lenye miiba, shingo inageuka kama mtu anayefanya mazoezi ya shingo ..dakika 2 mzee anakabidhi mic na ukiuliza pale ni Maneno mangapi mmeyasikia itakuwa ni 'people' na ' mabadiliko' huu ni ukweli mchungu
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.
 
Tatizo,kuna watu hawataki kuamini. LOWASA ndiye Rais ajaye.
 
Tuhuma za; Utajiri usiojulikana chanzo yeye, Ufisadi yeye, kukimbilia udini haraka ni yeye! Hafai kuwa kiongozi wetu.
 
Watu wanajisikia vibaya sana kuona mgombea wenu hayuko comfortable kuitawala mic jukwaani, anapata shida kuushirikisha mwili ..mwili wa mwanadamu aliye kamili uenda na maneno ama matukio lakini kwa babu mambo yanakuwa ndivyo sivyo, hata mic yenyewe inageuka mzigo kuishikilia, anapenda kujisogeza kwa hatua za haraka na za kuvutia ila anaishia kutembea kama mtu anayekatiza kwenye pori lenye miiba, shingo inageuka kama mtu anayefanya mazoezi ya shingo ..dakika 2 mzee anakabidhi mic na ukiuliza pale ni Maneno mangapi mmeyasikia itakuwa ni 'people' na ' mabadiliko' huu ni ukweli mchungu
hivi ndani ya ccm kuna anayemzidi kuongea lusinde ? mbona hakuwa mgombea urais ?
 
Akazike asikwazike tunamtaka Lowasa piriod.Mbona magufuli anaongea lafudhi ya kizinza hatusemi? MAGUFULI KICHWA CHAKE KINA MANUNDU KAMA COMRED KIPEPE MBONA HATUSEMI?
 
Watu wanajisikia vibaya sana kuona mgombea wenu hayuko comfortable kuitawala mic jukwaani, anapata shida kuushirikisha mwili ..mwili wa mwanadamu aliye kamili uenda na maneno ama matukio lakini kwa babu mambo yanakuwa ndivyo sivyo, hata mic yenyewe inageuka mzigo kuishikilia, anapenda kujisogeza kwa hatua za haraka na za kuvutia ila anaishia kutembea kama mtu anayekatiza kwenye pori lenye miiba, shingo inageuka kama mtu anayefanya mazoezi ya shingo ..dakika 2 mzee anakabidhi mic na ukiuliza pale ni Maneno mangapi mmeyasikia itakuwa ni 'people' na ' mabadiliko' huu ni ukweli mchungu

Mbona huyo MAGUFULI anakichwa kama cha komred kipepe hatujasema?unafurahia hiyo lafudhi ya kizinza? ndo ana PHD huyo?
 
Watu wanajisikia vibaya sana kuona mgombea wenu hayuko comfortable kuitawala mic jukwaani, anapata shida kuushirikisha mwili ..mwili wa mwanadamu aliye kamili uenda na maneno ama matukio lakini kwa babu mambo yanakuwa ndivyo sivyo, hata mic yenyewe inageuka mzigo kuishikilia, anapenda kujisogeza kwa hatua za haraka na za kuvutia ila anaishia kutembea kama mtu anayekatiza kwenye pori lenye miiba, shingo inageuka kama mtu anayefanya mazoezi ya shingo ..dakika 2 mzee anakabidhi mic na ukiuliza pale ni Maneno mangapi mmeyasikia itakuwa ni 'people' na ' mabadiliko' huu ni ukweli mchungu

Kilichobakia Kwenu CCM Ni Kutukana Tu! Mbona Me Jana Nilikuepo Kwenye Mkutano Pale Singida Lakini Sikuyaona Hayo, Mbona Unadanganya? Atawale Mike Yeye MC? Nakwambia Tulia Humu Humu Hadi Tar 25oct Usikimbie! Nani Anayebisha Kua Rais Ajge Ni Lowasa? Hata Mwenyekiti Wako Wa Taifa Analijua Hilo. Hivi Hata Aibu Kua Mtashindwa Hamna?
 
Rehema E Grayson
9/13, Hela ilingia 10/9/2015 mil 65 tawi Mwanza na kutolewa11/9/2015 tawi Ostabay
[9/13,

01J2008494400 Na ilitolewa mil 60
Hela za kuwanunua akina aunty Ezekiel na Ray
 
Back
Top Bottom