Shida ni sheria yao ya kusajili wachezaji wa kigeni ni wachezaji watano tu na wamesajili wachezaji 8. Halafu inaonekana akili zao zilikuwa zinawaza katika klabu bingwa dunia ndio maana wamechukua wachezaji kwa kipindi kifupi fupi cha miezi mitatu tuYaani kwamba waarabu wamteme baada ya kucheza mechi hizo chache tu watakuwa wapuuzi
Sidhani kama wanaweza kuongopa hivyo kwasababu itaingizwa moja kwa moja katika hesabu ya vyanzo vya mapato.Ile bilioni 2 iliyosemekana walilipwa last born inawezekana ni kanyaboya.
Jamaa mkataba utakua uliisha huko utopoloni akayeya bure.
Yaani timu itie bil2 halafu imteme kirahisi hivyo ndani ya mwezi mmoja kweli?
Haka katimu kanajua fitina tu,sasa mkuu miezi mitatu bilioni mbili.Kwa maelezo ya Kamwe, alichukuliwa kwa miezi mitatu kukiwa na nafasi ya usajili wa kudumu. Inavyoelekea atarudi Yanga.
Ulitaka iwe sh ngapi ili ufurahi?Haka katimu kanajua fitina tu,sasa mkuu miezi mitatu bilioni mbili.
Kwamba mnaogopa asiwakande tena?Bora aende Ken Gold ... asaidiane na ex uto wenzake Morrison, Chirwa, Zawadi, Yondani na wengine kuirudisha ligi kuu.
Zote zilizotajwaUlitaka iwe sh ngapi ili ufurahi?