Singida: Ajali ya Bus la Takbiir

Joined
Nov 19, 2017
Posts
814
Reaction score
1,026
Kuna Jamaa yngu yeye alikuwa kwenye Bus la Ally's amekuta ajali ya Bus la Takbiir linalofanya safari zake kati ya Geita na Dar es salaam likiwa limepata ajali Mkoani Singida, kona ya Hingu

Kama una ndugu au Jamaa ambaye alikuwa anasafiri leo naomba ufanye mawasiliano.

Bus lilikuwa linatoka Geita kuelekea jijini Dar es salaam. Taarifa Rasmi bila shaka itatolewa na mamlaka husika

Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi Majeruhi wote waweze kupona

 
Novemba-Desemba, "wanaume" wanatoa kafara ili mambo yaendelee kunyooka. Muarobaini ni KUOKOKA tu.
 
So scary kuna aliepona kweli hapo jamani R.I.P kwa wote waliopoteza maisha[emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…