Emu ngoja kwanza yaani wote hao walikuwa chakula a.k.a ubwabwa..eh hawa crooners sasa ngoja tusubiri ya Lionel RitchieWhat is happenng to all the old time good/outstanding crooners!? - Barry White, Gerald LeVert, Luther Vandross, now Teddy Pendegrass!!!!
Whatever the cause of their death..they will forever leave a mark in our hearts.... as far as good music is concerned.RIP TP!
Emu ngoja kwanza yaani wote hao walikuwa chakula a.k.a ubwabwa..eh hawa crooners sasa ngoja tusubiri ya Lionel Ritchie
Maana yake??...fafanua... mimi nasikitika kuwakosa katika ulimwengu wa music mzuri! Mengine hayanihusu..afterall kumsema vibaya marehemu sidhani inasaidia kitu... kama walikuwa wana makosa wangesemwa walivyokuwa hai.
Sistazz forever my dear!Wos my sistah oh! ulipotelea wapi tena...nikajua wamekuweka mwali my sistah hujaniambia...anyways kuhusu marehemu kusema my sistah yaani juzi tuu marehemu mzee Kawawa hapa alivyokufa watu wakaanz akumsema vibaya ooh hajasoma ooh this....you know what i mean?...lakiniwakati wa uhai nobody sais anything it was all good!....mungu ilaze roho ya marehemu Tedy mahali pema peponi...Inshallah