Singeli ni kelele

Singeli ni kelele

asilimia kubwa ya wasiopenda muziki huu ni wahamiaji dar kutoka kaskazin na kanda ya ziwa wazawa wenyewe wa dar wanaukubali.kama wewe hupendi singeli na ni mwenyeji wa dar kitambo tu nyoosha kidole
 
Kisingeli tunauweza wenyewe wa dar nikiusikilizaga na kuona wanavyocheza unanipunguziaga stress hasa wale madogo chipukizi 'mikono juu , mikonojuu,mikono juu mwendo wa mateka' duuhuu wankosha wale
 
Singeli ni mbadala wa mchiriku,mziki wa waswahili -uswahilini, kuonyeshana chupi na tight ndo mpango mzima +kutangaza biashara ya mwili
 
Kwa nini singeli ilibakie kuwa singeli na badala yake uanze kutaka kuifananisha na style ya miziki hiyo uliyoainisha?
Hakuna mziki unaotoka kwenye hizo Kati ya nilizoolozesha hapo sasa kimziki lazima udondokee humo
 
Kisingeli tunauweza wenyewe wa dar nikiusikilizaga na kuona wanavyocheza unanipunguziaga stress hasa wale madogo chipukizi 'mikono juu , mikonojuu,mikono juu mwendo wa mateka' duuhuu wankosha wale
'chakubamba mama iyoleeee,akaanza kulia palee mama usinchinje(usinchinjemama) tumpeleke helena huyu'
 
Muziki ndivyo ulivyo. Kuna aina nyingi za muziki. Kila aina ina muda, mazingira, watu, imani na utamaduni wake. Utashangaa muziki unaopenda wewe wengine wanaona ni usumbufu na kituko kikubwa. Kwahiyo mi naunga mkono maoni yako. Ila kumbuka tu na wengine wanaona muziki unaopenda wewe ni kituko na kelele zisizo na msingi.
 
Upo kwenye kundi la muziki "Hainaga ushemeji wanakulagaaa"
 
Back
Top Bottom