Singapore jiji ghali zaidi kuishi duniani

Singapore jiji ghali zaidi kuishi duniani

VANCOUVER

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
336
Reaction score
20
Jiji la Singapore nchini Singapore limetangazwa kua jiji ghali zaidi kuishi kwa mwaka 2014 na kulipita jiji la Tokyo nchini Japan ambalo lilikua jiji ghali kuishi kwa mwaka 2013.
 
Mi nilikuwa najua Arusha ndo jiji ghali...Kumbe na Singapore wapo..??
 
Back
Top Bottom