Sinema za ikulu

mi sikubaliani na wewe kwa hili
 
its confirmed now.!
imefanyika ''hafla fupi'' and ametoa vyeti kwa ''waokoaji.!???
 
mkataba tu nilipousikia kama ni kweli eti baada ya ujenzi kukamilika itaendelea kuwa chini ya usimamizi wa mchina kwa muda wa 50yrs. nilichoka! Lakini wachina wamelazimisha kupewa kazi hiyo kwani Liz 1 calikamatwa kule na drug na alitakiwa auwawe lkn kwa kuwa ni mtoto wa presda wamepozwa na contracts za kuuza lasilimali zetu. insort kuna mambo kibao ndani yke aibuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…