Sinema ya Gwajima Sterling ni nani?

Sinema ya Gwajima Sterling ni nani?

cj21125

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Posts
3,588
Reaction score
3,520
Takribani miezi miwili polisi wanahangaika na mtu mmoja ambaye alishajisalimisha polisi peke yake. Hebu polisi na wakuu wenu wa kazi mtuambie wale wahalifu waliovamia vituo vya polisi nchini wameshakamatwa? Mbona kila siku mnamzingira Gwajima ambaye tayari ameshajisalimisha kwenu? Hii sinema tuambieni Sterling ni nani na picha litachukua muda gani kwisha.
 
Gwajima ameshaisema amechoka hataki maneno na mtu tena.
 
Suleiman%2520Kova.jpg

Takribani miezi miwili polisi wanahangaika na mtu mmoja ambaye alishajisalimisha polisi peke yake. Hebu polisi na wakuu wenu wa kazi mtuambie wale wahalifu waliovamia vituo vya polisi nchini wameshakamatwa? Mbona kila siku mnamzingira Gwajima ambaye tayari ameshajisalimisha kwenu? Hii sinema tuambieni Sterling ni nani na picha litachukua muda gani kwisha.
 
Namsikitikia sana Gwajima.Frankly alimu-under stimate Askofu Pengo.He should have known kwamba Askofu Pengo ni mwakilishi wa Pope Tanzania.This means if you fight Pengo you are infact at war with the Pope himself.Kwa jinsi Gwajima alivyo anzisha vita inayoendelea haijui kabisa Vatican!Alidhani Askofu pengo ni askofu tu kama yeye,he is not.Ulishaona wapi dhehebu likawa na balozi katika nchi mbalimbali duniani.Roman Catholic sio dhehebu,it is more than that.Pole Gwajima umeingia choo cha kike.Malkia wa Uingereza na akina Obama wenyewe wanamsujudia, sembuse wewe. Vihela vyako hivyo ulivyopata kwa njia haramu visikutie kiburi ndugu yangu.Kwanza ungekuwa mtu wa kiroho kweli usingemdhalilisha Pengo kama ulivyofanya.Wewe sio mtu wa kiroho kabisa,ngoja sasa shetani akushughulikie,ameshamaliza kazi na wewe.Satan has nothing for free,lazima utalipa.Sasa unalipa.

Hivi wanajamvi mm nimejiuliza swali hivi walivyotaka nyaraka za helicopta ya kanisa
Walimaanisha nn?
Au badae wangeuliza na nyaraka za bank fulani inayomilikiwa na kanisa fulani ? Pia vp mashule na mahospitali yanayo milikiwa na baadhi ya makanisa nayo yangechunguzwa? Au ni ilikuwa ya Gwajimza tu mzee wa misukule?
 
Hahahahshaha Polisi wajinga tu
 
Wamejaribu kumtikisa Gwajima ila Gwajima ni jiwe lisilo tikisika
 
Hivi wanajamvi mm nimejiuliza swali hivi walivyotaka nyaraka za helicopta ya kanisa
Walimaanisha nn?
Au badae wangeuliza na nyaraka za bank fulani inayomilikiwa na kanisa fulani ? Pia vp mashule na mahospitali yanayo milikiwa na baadhi ya makanisa nayo yangechunguzwa? Au ni ilikuwa ya Gwajimza tu mzee wa misukule?
Weee Popo kweli. Kwa wale wanaomiliki Ma-hospitali na mashule nk, akaunti ziko wazi. nenda Bakwata kaulize hesabu za Kinondoni Muslim Sec Sch ziko wazi kila kitu. Nenda TEC ulizia wanamiliki nini utakuta hata list imebandikwa kwenye mbao za matangazo.
Gwajima anatakiwa kujua kuwa uaskofu wake ni wa hapa hapa si vinginevyo. Kumtukana Pengo ametukana waumini Takribani milioni 15. Tupo nae Gwajima tunamliwaza lakini sasa tutamhacha akafe mwenyewe
 
m najiliza hiv Kwer huyu jamaa ni mtumushi wa Mungu au ndo mkurugenz na ile ni biashara maana mchungaji hawez ongea vile. Duuu ifike mda tuelewe kp n kp hadi makanisa yatunyonye na bado tunailalamikia serikar kumbe si serikal pekee bal had makanisa
 
Weee Popo kweli. Kwa wale wanaomiliki Ma-hospitali na mashule nk, akaunti ziko wazi. nenda Bakwata kaulize hesabu za Kinondoni Muslim Sec Sch ziko wazi kila kitu. Nenda TEC ulizia wanamiliki nini utakuta hata list imebandikwa kwenye mbao za matangazo.
Gwajima anatakiwa kujua kuwa uaskofu wake ni wa hapa hapa si vinginevyo. Kumtukana Pengo ametukana waumini Takribani milioni 15. Tupo nae Gwajima tunamliwaza lakini sasa tutamhacha akafe mwenyewe

Utakufa mwenyewe Gwajima utamuacha kama alivyo
 
Acheni maneno mengi, hakuna aliyemtakatifu ila Mungu tu, hata huyo Pengo anayo mengi maovu na Mungu akiamua kumuweka wazi atamuweka tu, ni bora ukakaa kimya tu kama umekosa hekima ya kuongea jambo juu ya hii suala.

Nb: Sorry sijamtaja mtu, - general sms
 
Namsikitikia sana Gwajima.Frankly alimu-under stimate Askofu Pengo.He should have known kwamba Askofu Pengo ni mwakilishi wa Pope Tanzania.This means if you fight Pengo you are infact at war with the Pope himself.Kwa jinsi Gwajima alivyo anzisha vita inayoendelea haijui kabisa Vatican!Alidhani Askofu pengo ni askofu tu kama yeye,he is not.Ulishaona wapi dhehebu likawa na balozi katika nchi mbalimbali duniani.Roman Catholic sio dhehebu,it is more than that.Pole Gwajima umeingia choo cha kike.Malkia wa Uingereza na akina Obama wenyewe wanamsujudia, sembuse wewe. Vihela vyako hivyo ulivyopata kwa njia haramu visikutie kiburi ndugu yangu.Kwanza ungekuwa mtu wa kiroho kweli usingemdhalilisha Pengo kama ulivyofanya.Wewe sio mtu wa kiroho kabisa,ngoja sasa shetani akushughulikie,ameshamaliza kazi na wewe.Satan has nothing for free,lazima utalipa.Sasa unalipa.

Huyu Gwajima sijui ni mwehu!?eti anamwambia Rais Kikwete awaambie polisi wasimfuate fuate na kama wakiendelea atajua yeye ndio anawatuma wamfuate!bora hata angesema waziri wa mambo ya ndani awakataze polisi wasimfuate,fedha inaleta kiburi sana.
Halafu sisi wakristo tunalindwa kwa damu ya Yesu popote tulipo kwa imani yetu lakini huyu mpuuzi Gwajima eti anajilinda kwa bastola tena akiwa ICU?!!

Mimi nadhani akapimwe akili pengine ni mwendawazimu,uswahilini wanaita chizi fresh. Nasikia leo tena katoa mpya sijaipata bado!
 
Huyu Gwajima ni kituko cha mwaka. Nakuhakikishia safari hatapona. Lazima watamsweka lupango zaidi ya mwaka mmoja au miwili kwa makosa mawili. MaKosa ya kumiliki silaha kizembe na kuwaachia mabodigadi wake na kosa la kumtukana Pengo hadharani ndio yatakayomfunga huyo Chizi akanyee debe.
 
Hahahahahahaha, tetetetetete
 
Back
Top Bottom