Sinema hii Imeishia wapi?

Iliishia pale Nape alipo kutana macho kwa macho na kupeana mkono na "Leigwanan The Great-EL"
 
Nimejifunza kitu hapa, ndevu uchafu, heshima pesa tena ziwe vijisenti uswiss! Check washkaji walivyokwangua ngaza!
 
Ndo hawa hawa wanazidi kutukondesha...na baaado kabisa wanatunyonya sisi hatujui...
 
Starring alishakufa mwanzoni, tukamzika hewa Marekani!
 

Starring alishakufa mwanzoni, tukamzika hewa Marekani!
 
I love Tanzania, Watu wake, Siasa zake,Viongozi Wake , Ardhi yake, Mipango yake, Na zaidi ya yote Ujasiri kutafuta maendeleo ya ziara za wakuu wake ughaibuni
 
Inaelekea ni intermission; watu wametoka kupata popcorns na juice nje........
 
Mkuu kati ya sasa na 2015 ndo tutajua sinema imekwisha au lah! Sasa hivi Kila kitu KIMYA KIMYA .... Hii ni Sinema ya KIMYA KIMYA
 
Walishashindikana kwa dhaifu hao, dhaifu hawawezi hata chembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…