Sindano za kuzuia mimba (depo)

Sindano za kuzuia mimba (depo)

Ma BOBO

Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
57
Reaction score
93
Tangu nichome sindano nabrid brid ovyo nifanye nini nimetumia noresistorone lakini bado nilikuwa nakunywa kidonge 1 kila siku hadi siku tano.

Hii hali inanikera japo sibridi sana lakini kila siku lazima damu itoke kidogo then inaacha kama sio asubuhi, mchana kama sio mchana jioni then inakata haiendelei tena nakwazika na hii hali, nilichoma sindano miezi miwili ilopita.

Naombeni msaada.
 
Hio ni changamoto ya Hizi dawa za uzazi wa mpango linasababishwa na hormone imbalance hata Ukitumia dawa za kukata Blees lakini tatizo halitaisha mpaka pale depo itakapoisha kwenye system.. Pole sana
 
Kwanza nakupa pole, lakini naomba nikuulize before hujachoma depo, mzunguko wako ulikua ni regular au irregular..?
 
Back
Top Bottom