Sindano za chanjo kwa watoto.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,862
4,090
Salamu kwenu!

Je,hakuna mbadala wa sindano za chanjo wanazopatiwa watoto,katika mapaja yao?
Maana nimeshuhudia zikiwapa mateso sana muda mwingine hadi kupata homa.

Kweli hakuna namnan yingine ya kuwapa chanjo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom