Zakali inasimama vizuri nikushauri mbadala wa hayo masindano?Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.
1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi???
2. Je kuna watu ambao wametumia sindano hiyo ya testosterone kwa muda mrefu na ikawasaidia???
3. Je sindano na gel ya kupaka bora nini.
4. Zile testosterone replacement therapy zone zinapatikana tanzania???
Nb: haya ni matatizo naomba tusaidiane. Kwani km hayakuhusu wew Leo lbd yatakuhusu kesho au kuna ndugu yako anayo tunapopata wa kutusaidia tunapata maarifa zaidi
Mwisho: je kuna dawa mbadala inayoondoa tatizo
Km kuna mtu anatumia sindano hiyo ya testosterone naomba anicheki WhatsApp anisaidie vizuri 0764556760
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Mkuu nicheki WhatsApp kwa namba hiyo 0764556760Nilizitumia zina matokeo mazuri ila gharama na kudungwa sindano kila mwezi niliona ni taabu
45Una miaka mingap tuanzie hapo?
Mkuu mbadala niupi niambieZakali inasimama vizuri nikushauri mbadala wa hayo masindano?
Uzee unaingia mkuu bao moja linatosha relax,zingatia msosi ,
Nikweli lkn km unauzoefu ndo nilikuwa nahitaji hapo uzee kila mtu ataupata.Uzee unaingia mkuu bao moja linatosha relax,zingatia msosi ,
Asante mkuu kwa ushauriChemsha kula supu ya ashua( pumbu ) za n'gombe zinapandisha homoni za kiume kwa kiwango cha juu sana .Fanya hivyo kwa mwezi mmoja zitabalance tu na Utakaa sawa..
Umri huo Bado sana.....na damu inachemka......labda uongeleee kwenye 65 huko ndio unaweza kuona dalili za uzee........nyie vijana nani anawaongopea.......Uzee unaingia mkuu bao moja linatosha relax,zingatia msosi ,
Kweli mkuu tunakatishana tamaa tuUmri huo Bado sana.....na damu inachemka......labda uongeleee kwenye 65 huko ndio unaweza kuona dalili za uzee........nyie vijana nani anawaongopea.......
Vip ungekuwa ni wew ukajibiwa hivyo. Hapa tunatafuta elimu kumbuka testosterone sio ngono tu. Inakazi nyingi.Mkuu tafuta burudani nyingine, ngono haikufai waachie waliojaaliwa wingi wa hizo hormones naturally.