sina wangu...natamani kupendwa

Naomba private number plz, pengine mungu kasikia kilio changu
 
Issue sio single issue umetembea mile ngapi,unaweza ukawa single lakini uko used kuliko aliyekuwa kwenye double love
 
u r still young! ni kama vile maisha ndio umeyaanza.. mambo mengi yanakuja maishani mwako... alot 2 experience
 
21 years n single jaman..

Karbu Jf kwanza, siku nyengine ukija humu ujieleze vizuri sio kana kwamba umewmbiwa unatuma ujumbe mfupi kuna hela utatozwa hapa ni bure tu usiogope
 
Come on now,just 21years and you are complaining.....We bado mbichiiiiiiiiii.....You have a lot ahead of you...Prioritize other things in your life right now if love is not with you......
 
21 years n single jaman..

mmetumikaaa mmeona umri unaenda mnakuja huku nani kawambia kuwa kuna waoaji huku jf? Huku kuna kanyaga twende kama huamin niPM mm uone
 
Naomba private number plz, pengine mungu kasikia kilio changu

hahaaaa umemuuuliza jinsia yake lakini?na wewe anajua ya kwako?angalia msije mkajikuta wote ni vidume sijui mtaanzanaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…