sina vigezo....

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,901
Reaction score
14,581
Wadada wa humu mbona mna masharti sana yani mna masharti bwena katika wooote sijawahi ona hata mmoja anayetutaka sisi khaaaa....
 
Sisi (Nyie) kina nani ?
Sisi ambao hatuna elimu wala pesa kama mimi au nyie ni kina nani ?
 
Sisi (Nyie) kina nani ?
Sisi ambao hatuna elimu wala pesa kama mimi au nyie ni kina nani ?

tunaoenda kinyume na moja ya hv vigezo...
1. Mrefu
2. Umri 34 -40
3. Wenye kipato kikubwa
4. Dini ( si mkristu wala muislamu)
5. Makabila (me masai)
6. Tunaishi pembezoni mwa nchi huku tanganyika...
7. Watu wa gambe....
 
Weka tangazo ukionyesha vigezo hivyo nina uhakika utapata (there is something for everyone).., ingawa kina sisi ambao hatuna elimu wala fedha kupata humu mtandaoni ni shughuli
 
Weka tangazo ukionyesha vigezo hivyo nina uhakika utapata (there is something for everyone).., ingawa kina sisi ambao hatuna elimu wala fedha kupata humu mtandaoni ni shughuli

Probability ni 0.1
 
Probability ni 0.1

Path to Zen..., From the Series Life (2007)
 
sa mwanaume ukishakuwa na kipato kikuwa c kila ktu kngine kinasameheka*wink*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…