Sina upendo kama zamani

Nadhani bado una hasira na upendo kwa msaliti wako.

Jitahidi kupambana, msamehe kwa moyo wote ikiwezekana tulia usiwe na msichna kwanza ujijenge upya kisaikolojia.
 
Kwanza nakupongeza Kwa kutofuata ushauri wa kutoa ilemimba.Pili jeshi lumekupa ukakamavu Safi sana.Tatu elewa kuwa hakuna mwana mke wa pekeyako ktk dunia hii hivyo hainahaja ya kumpenda mwanamke up to the maximum
Asante mkuu nimekuelewa
 
Ushaur gani unataka wakati tayari unaelewa madhaiafu m naona kikubwa ni kumrudia mungu maana hatujui siku wala saa
 
Nadhani bado una hasira na upendo kwa msaliti wako.

Jitahidi kupambana, msamehe kwa moyo wote ikiwezekana tulia usiwe na msichna kwanza ujijenge upya kisaikolojia.
Nmekuelewa kiongozi tatizo linalofanya nizid kupata hasira juu yake bado ananitafuta kila siku kuniomba nimsamehe turudiane nimebadirisha namba zaid ya Mara nne lakini bado anaipata
 
Ushaur gani unataka wakati tayari unaelewa madhaiafu m naona kikubwa ni kumrudia mungu maana hatujui siku wala saa
Nimeelewa madhaifu ndio maana natafuta ushauri ili niondokane na hii hali
 
Nmekuelewa kiongozi tatizo linalofanya nizid kupata hasira juu yake bado ananitafuta kila siku kuniomba nimsamehe turudiane nimebadirisha namba zaid ya Mara nne lakini bado anaipata
Nadhani nae hajakubaliana na hali halisi iliyopo,ukibaki na msimamo wako naamini atachoka na kukubali na ataacha kukutafuta.
 
Msimamo wangu haubadiriki na hautabadirika, kuna kipindi aliolewa na huyo baba mtoto wake ndio kidogo alikua hanitafuti Mara kwa Mara ila now kaachana na bwana ake imekua kero ila hilo halinipi shida maana najua ntakaza mpaka mwisho
 
Basi endelea kukaza inaonekana dhambi ya usaliti inamuumiza.
 
Hapo kabla ulikuwa hujayajua mapenzi, sasa ndio umeyajua, akija mtu sahihi kwako utampenda tu ila umeshajifunza kupenda kwa step na sio kujiachia
 
Msimamo wangu haubadiriki na hautabadirika, kuna kipindi aliolewa na huyo baba mtoto wake ndio kidogo alikua hanitafuti Mara kwa Mara ila now kaachana na bwana ake imekua kero ila hilo halinipi shida maana najua ntakaza mpaka mwisho
Yani hadi aliolewa kabisa na bado anasumbua, aisee
 
Saiv kama kazidi yani anasumbua kwa kasi sana japo hua sijibu text wala sipokei simu zake
 
Mpotezee mazima kabisa mkuu,mwanamke kama huyo hafai kabisa....roho inamuuma kwa aliyokufanyia...wanafananaga sana tabia sana hawa watu.
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Inasikitisha sana...

Pole sana...

It will take time for you to be normal...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…