Awali ya yote, niwatakie heri ya krismasi na mwaka mpya.
Mimi kwangu huku leo ni siku ya tatu sina umeme kisa hizi mita mpya za tanesco. wenzangu wote majirani wana umeme isipokuwa sisi tuliofungiwa hizi mita mpya.
Kama kuna mwanatanesco humu jua wewe ni jipu lililoiva!
Cc Tanescoyetu MagufuliJP
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.