Sina shida ya hela mimii

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,525
Reaction score
185,663
Bonuiiiiiiiiii......!!!!!!!
Mmhhhh kama ndio freemason wamehamia kwenye kina tigopesa, Mpesa nanyinyinezo basi kazi ipo..but in Jesus name kwangu wameshindwaaaaaaaa...!!anyway mimi nina line za simu mbili voda na airtel ambazo ni permanent na nimesajili kwa majina yangu na ndizo zinazojulikana kazini, ndugu, jamaa, marafiki as well . Pia 99.percent ya watajwa hapo juu wanatumia voda na airtel so in most cases huwasiliana kupitia hizo. Hiyo 1% ilobaki ndio wanatumia tigo and its very rarely yan.
Sasa march this year kuna sijui ndugu sijui rafiki alinicall kwa tigo na mjadala nahis ulikua mrefu hivo nikalazimika kutafuta line ya tigo mana mimi sio mtoto wa Bakhresa.! Nikaamua kuomba line kwa best tu ambayo haitumii ili niimonopolize nae akanipa na ilikua line mpyaa isiyokuwa na jina hata moja na katika kipindi chote hicho hakuwahi piga kiumbe yeyote kusema labda amuhitaji mwenye hiyo line...
Sasa jioni hii nlikuwa zangu room nmezubaa zubaa mara ikaingia sms ya Tigopesa ikionesha sh 82300/ imetumwa kwenye hio line na its a very small amount kwakweli si ya kushawish mtu anayefanya kazi. sasa mimi nikakaa nasubiria mtu apige cm kusema amekosea kutuma up to this moment kimyaaa, nampigia mwenye line nimuulize nae hapatikani...haya what if huyo aliekosea akipiga nimrudishie hiyo hela mimi namba ya siri hata siijui itakuaje??. Huu ukimya ndio napata wasiwasi nisije yeyushwa bureee.!!!! Mimi sijishughulishi nayo kabisaaaa naiacha kama ilivo.


Orevuaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Duuuu!!
Hii nayo kali! Fanya kupeleka huko tigo pesa watakushauri cha kufanya kuichukua.
 
Mbona umechelewa sana mama? Mimi wiki mbili zimepita sasa walinitumia 42,000 na ninaefanyanae kazi katumiwa 100,000. Yeye kaniuliza nikamjibu labda mtu kakosea, kuangalia na mimi nakuta 42,000. Ukiangalia alietumia ni tigowakala.... Kula tu ni haki yako....
 
Daah best nenda tigo pesa wakusaidie kuirusha kwangu ukame unaniua ndugu yako
 

naogopa mimi jamani bado napemda kuishi na sina hata katoto....
 
Duuuu!!
Hii nayo kali! Fanya kupeleka huko tigo pesa watakushauri cha kufanya kuichukua.

aku mi naogopaaaaaa!! ukute kibabu kichawi cha watu ndio kilikuwa kitumiwaji kikaniroga bureeeee..taki mimi
 
naogopa mimi jamani bado napemda kuishi na sina hata katoto....

Hapana. Trust me na mimi nimetumiwa hiyo hela 42,000 na mpaka leo namshkuru Mungu sijapata tatzo wala kuulizwa kuhusu hiyo hela. Nikama bonus waliamua kutoa....
 
Hapana. Trust me na mimi nimetumiwa hiyo hela 42,000 na mpaka leo namshkuru Mungu sijapata tatzo wala kuulizwa kuhusu hiyo hela. Nikama bonus waliamua kutoa....

mpendwa.....!! mpendwaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ok, kama unaogopa ivo itoe thn kaitoe sadaka bt hakuna TATIZO lolote....

sa ntaitoaje???? hata namba za siri sizijui pia nlikuwa sifahamu kama alijiunga na hiyo tgopesa ndio leo nimejua yan..ila ngoja nisubiri subiri huenda mwenye hiyo hela akanitafuta nkiona kimya ndio ntafanya as u told me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…