Sina raha na mpenzi wangu!

kuchelewa kila siku!??? tena hauulizwi.... ah muangalie huyo mume isije kuwa kuna mpango wa kando anaupiga!!!!
mwanaume lazima adoubt banah kama kweli anaupendo na ata hivyo haipendezi urudi kila siku ukute mume kishafika
 
sijui kwanini inakuwaga hivi mume akiwa mtulivu mke ni pasua kichwa
 
kuchelewa kila siku!??? tena hauulizwi.... ah muangalie huyo mume isije kuwa kuna mpango wa kando anaupiga!!!!
mwanaume lazima adoubt banah kama kweli anaupendo na ata hivyo haipendezi urudi kila siku ukute mume kishafika

Junior;
Naomba nikuongezee. Nunua jiko la gas, halafu akija akute umeinjika ugali na unaanza kuandaa meza. Wala usiseme naye, pakuwa, mkaribishe vizuri tu tena kwa tabasamu.
Kwani kabla ya kuja ulikuwa huli? Mkaribishe. Mwenyewe atahama mji, kama ana limjamaa atahama mji na adabu tele kwako. Unapo mgasi umechelewa wapi, umetoka wapi, ulikuwa na nani hayo humpa kibyongo. Kupigana hakupo tena leo.
 
Simple!
Kama umeshaongea akaziba masikio anza kuongea kwa matendo,
Leo akirudi saa 4,wewe kesho unarudi saa 5,akirudi saa 6 wewe kesho saa8!
Ataelewa tu!!!!
Wengine wanaelewaga kwa practical tu blah blah hazipenyi kwa brain zao!!!

Duh! Kumbe ule musemo 'dawa ya moto ni moto' bado unafanya kazi eeh?!!

btw, umzima weye? Nimekumisi kinyama!
 
We mleta mada Kama umeshindwa kutatua tatizo dogo hilo basi na wewe ni tatizo! Wewe ni mwanaume ulokamilika kweli?
 
hilo nalo neno!!! ila ikipita wiki bado hajaacha atakuta nmeinjika mwanamke mwingine naanza kutandika kitanda
 
Duh! Kumbe ule musemo 'dawa ya moto ni moto' bado unafanya kazi eeh?!!

btw, umzima weye? Nimekumisi kinyama!
Mie mzima best.
Mfungo huu ruhsa kumissiana!!!!!
Hiyo comment mie hata sijui ilikuwaje nikai post!!!!
 
Uko sawa kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…