Sina raha na mpenzi wangu!

Simple!
Kama umeshaongea akaziba masikio anza kuongea kwa matendo,
Leo akirudi saa 4,wewe kesho unarudi saa 5,akirudi saa 6 wewe kesho saa8!
Ataelewa tu!!!!
Wengine wanaelewaga kwa practical tu blah blah hazipenyi kwa brain zao!!!
 
Hi wana JF bila shaka mko poa na wazima wa afya njema!!!
Naombeni mawazo yenu!
Mke wangu hazingatii muda wa kurudi nyumbani nifanyeje?????

Hazingatii kivip labda? Foleni njiani au anachelewa muda mrefu zaid?
Kama anafanya hivyo ni dharau kubwa sana kama wewe ndio m/me, mrudishe kwao kwanza akajifunze


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
yaaani wewe ndo unawahi kuliko wife... tafuta ata kijiwe cha karibu meku uwe unateremsha serengeti baridi mpaka arudi usije kuonekana baba wa nyumbani
 
Umeshindwa kabisa kutatua hili suala mwenyewe....?
 
hahaha... Hapana wagawane funguo kila mtu ajijue wakati wa kurud wasisumbuane kufunguliana
Akimpa funguo atakuwa haja solve tatizo, atachelewa tu
akinyimwa atawahi make anajua akichelewa ndo hivo pamefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…