Sina raha na dunia hii tena

sawa
Mkuu na umwamba wangu wote kwenye makaratasi nilikuwa naona kabisa dalili za kudhalilika achana na hao wadudu wewe mpuuze tu mbona utaenjoy maisha sana
mkuu Mungu akubariki asee
 
"Mdogo wangu kupenda ni bure ila ukitaka uuziwe utauziwa tu, jaribu kusoma kwanza huyo binti hamkuzaliwa wapenzi na siku zote Mkubwa hakukosea kukwambia uachane nae lakini una nafasi nzuri nyingine "
 
Tatizo tukiachana ananitumia text za kutishia kujiua kiukweli huwa naogopa sana namuomba yaishe tunarudiana tena upya

Mshana jr. Kijana ana matatizo huyu anahitaji msaada wako wa haraka ingawa wengine wanasema tuko wengi akiondoka mmoja si hoja!!
 
Huwezi kumuacha coz ana rangi nzuri au matko makubwa?Au atachukuliwa na mabraza men au unahisi kafanana na dadako?

Acha uboya temana nae.Be a man.
 
Huo bado ni utoto, endelea utaisha tu na utajutia badae
 
Be strong mtoto wa kiume wewe. Sometimes inabidi iwe na roho ngumu kufanya maamuzi magumu. Sikia kijana Fanya kile wazazi wako wamekwambia. Jenga maisha yako kwanza

Tafakari chukua hatua
 
Tatizo mkifika Shule mnaanza maisha ya familia badala ya kusoma. Masomo ni muhimu zaidi kwako kwa sasa.
 
Angalia lililo bora pia fanya lisiloweza kusubiri,kama shule muhimu fanya shule nakama binti muhimu fanya binti
 
kama hutaki kuachana naye unaomba ushauri wanini we si uendelee naye maana unapenda hizo shida
 
Una mastars ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…